Mon - Sun: 09 AM - 09 PM

HIJAB KWA MABINTI

Pichani ni wanufaika wa vazi la hijabu ambazo zilizotorewa na uongozi wa TAMSYA Morogoro kupitia mwalimu wao mlezi wa Shule ya Mlandizi - Mvomero. Hii ni katika kuendeleza maazimio ya upatikanaji wa vazi la hijab kwa wanafunzi wa kiislamu mashuleni.