Mon - Sun: 09 AM - 09 PM

TAMSYA DARSA

Idara ya Da' awa TAMSYA TAIFA inakutaarifu kuwa kesho siku Jumamosi tarehe 27.04.2024 kutakuwa na mwendelezo wa Darsa letu ambalo hufanyika kila jumamosi

Darsa litafanyika katika ofisi za TAMSYA MKOA WA DAR ES SALAAM

Somo litakalo fundishwa ni MAISHA BAADA YA RAMADHANI & UMUHIMU WA VIJANA KUJITOLEA KATIKA HARAKATI ZA DINI

Darsa litaanza baada ya swala ya al asr na tutakuwa na mlezi wetu Sheikh GHULAM pamoja na sheikh ABDALLAH NDAUGE.

Na walioko mbali na office za TAMSYA Mkoa wa Dar es salaam, Darsa litakuwa live kupitia mtandao wa Google meeting.
 
Hivyo Tujitahidi kuhamasishana

TAMSYA TAIFA IDARA YA DA' AWA

dawah@tamsya.or.tz