TAMSYA kwa kushirikiana na REHEMA WAKFU inakuletea SHINDANO LA USOMAJI KITABU

 

📚Jina la Kitabu:  MUHAMMAD MUSTAFA (Vol 1 & 2) 

 

👉Ni wakati na wasaa mzuri kwa mwanafunzi na kijana kujenga msingi mzuri na kuboresha tabia ya usomaji, kwahakika hili si shindano tu bali ni fursa ya kujifunza na kupanua fikra na mawazo yako.

 

Shindano hili litafatiwa na mtihani utaowapima washiriki na ZAWADI NONO kutolewa.

 

 Unasubiri nini???  Jisajili sasa kupitia kiunganishi (link) hapo chini👇 kabla ya kuanza rasmi kwa shindano letu.

 

https://forms.gle/KadnTXuE6vxtKjSq6

 

Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi kupitia 0658 067 983 au 0656 229 724